TRA mkoa wa Dar es Salaam kugawa mashine za EFD kwa wafanyakazi 5,703 zaidi bofya hapa

DAR: TRA leo itagawa bure mashine za risiti za kielektroniki(EFD) kwa wafanyabiashara 5,703 wa kati na wadogo katika mkoa huo

Jumla ya wafanyabiashara 200,000 kote nchini wanatarajiwa kugaiwa mashine hizo bure.

Mamlaka ya mapato tanzania revenue authoruty (TRA) imeadhimia kugawa mashine za efd bure kwa wafanyabiashara ili kuhamasisha ukusanyaji wa kodi.

Endelea kuwanasi tukujuze zaidi kupitia tovuti yetu hii pendwa ya Mikoa Yetu. Jifunze mengi zaidi kupitia maelezo yaliyopo hapo chini. 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top