Nimeikumbuka Dar es Salaam ya mwaka 1887

Nimeamini kuwa kila kitu kinakuja kutokana na sababu yake, msukumo wangu juu ya kauri yangu hii umekuja baada ya kuitazama Dar es Salaam ya kipindi cha miaka ya 1887. Jamani!

Ebu vuta picha mnamo mwaka 1887 Dar es salaam ilikuwa ipo katika muonekano huu (tazama picha iliyopo hapo juu) lakini hadi sasa ebu itazame ilivyo, nikipindi cha miaka 129 tu hadi sasa inaitwa jiji la Dar es Salaam. Ikiwa imejikamilisha kabisa.

Jifunze kitu kupitia habari hii kwamba hakuna sehemu iliyoko mbali, kama ukipata kiwanja sehemu yeyote ile wewe nunua tu maana kitendo cha wewe kununua kuna mwenzio naye atanunu kisa wewe umenunua na mwisho wa siku mtajikuta mmeishakuwa wengi na ndipo maendeleo hutokea hapo. Msambazie na mwenzio habari hii kama umeipenda.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top