MINI SHOP CHETA
NYUMBA PAMOJA NA FREMU ZA BIASHARA ZINAUZWA
Nyumba hii ina idadi ya vyumba vitano (5) ambavyo unaweza kuvitumia kwenye matumizi yako binafsi kulingana na jinsi unavyotaka kutumia sehemu ya vyumba ivyo.
ipo karibu na barabara kuu ya serikari, kwaiyo inafaa sana kwa biashara pamoja na makazi ya kawaida tu ya kila siku kama kulala pamoja na huduma zingine.
tayari imeisha fanyiwa wireling (mfumo wa umeme upotayari) kinachosubiliwa ni umeme kuwashwa tu basi alafu matumizi yaanze.
Kuhusu huduma ya maji ondoa shaka maana kisima kimechimbwa nyuma ya fremu/nyumba hii, pia eneo iloilo kuna huduma ya tofari, mchanga, cement, kokoto, nk.
0659 91 9292
KAMA KWELI UNATAKA KUFANYA BIASHARA PITIA HAPA
Viwanja vinauzwa kwa bei nafuu sana eneo la Cheta Kazole
SIFA ZA VIWANJA HIVI
1. Vyote vipo eneo la tambarale, ni umbali wa Futi 320 sawa na Mita 97.55 kutokaka barabara kuu ya serikali.
2. Mchanga unaweza kuchimba kiwanjani mwako hapo hapo.
3. Bomba la maji ya kutumia limepita katikati ya barabara ya mtaa inayopita vilipo viwanja hivi.
4. Viwanja hivi vina urefu wa Futi 50 na upana wa Futi 40 kwa kila kiwanja ikiwa ni sawa na Mita 15.25 kwa mita 12.20
5. Ukubwa wa barabara ya mtaa inayo anzia kwenye barabara kuu ya serikali ina urefu wa Futi 320 na upana wa Futi 16.5 sawa na Mita 97.55 kwa mita 5.
Na ile barabara ya mtaa inayopita viwanjani hapo ina upana wa Futi 10 sawa na Mita 3.5, Pia kuna Futi 2 sawa na Mita 0.60 Zinazotenganisha eneo linalouzwa na eneo la mmiriki.
6. Huduma ya vifaa vya ujenzi kama, Cement, Nondo, Tofari, Mchanga, Kokoto, Maji, vyote vinapatikana jirani kabisa na viwanja hivi vilipo.
Vipo viwanja vinne (4) na kila kiwanja kimoja kinauzwa kwa Tsh. 1.3M (Million 1 na laki 3).
Maongezi yapo kwenye uitaji.
Pia unaweza kulipia kiwanja chako kwa hawamu mbili tu.
Wote karibuni sana.
Mwenye viwanja naitwa Mutalemwa
Tuwasiliane kupitia 0659 919 292
MAELEZO KUHUSU UMBALI/NAULI
Viwanja hivi vinafikika kwa njia 3 za usafiri.
1. Vikindu kuna stendi ya magari yanayokwenda Kazole magenge 20 na mengine yanakwenda Magodani pia ziko pikipiki (Boda boda).
Kama ukipanda magari yanayoishia Kazole magenge 20 nauri ni Tsh 500 ambapo umbali wa Vikindu to Kazole magenge 20 ni 5.5KM.
Ukishuka hapo kazole utalazimika kutembea umbali wa 2.6KM au kuchukua pikipiki hapo kazole hadi kufika viwanjani hapo kwa Tsh 1,000
Ila ukipanda magari yanayo kwenda mpaka Magodani nauri yake ni Tsh 1,000 ambapo umbali wa kutoka Vikindu to Cheta kwenye ivyo viwanja ni 8.1KM.
2. Usafiri wa pikipiki kutoka Vikindu to Cheta kwenye viwanja ni Tsh. 3,000
3. Unaweza kutembea kwa mguu kutoka Vikindu hadi Cheta kwenye viwanja hivi kwa mda wa dakika 50-60
VIWANDA 22 KUJENGWA NCHINI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
MAJENGO YA SHULE YANAUZWA KWA BEI NAFUU KABISA, HII SI YA KUKOSA JAMANI.
MAJENGO YA SHULE YANAUZWA KWA BEI NAFUU KABISA, HII SI YA KUKOSA JAMANI.
Majengo ya Shule yanauzwa, majengo ya shule hii yako ndani ya eneo lenye ukubwa wa hekari 3 na robo, majengo ya shule hii yana wastani wa madarasa10, ofisi 3 pamoja na eneo la wazi kwa ajili ya michezo kwa wanafunzi.
Majengo ya Shule hii yako eneo la Picha ya Ndege mkoa wa Pwani karibu na Kisemvule ikiwa ni 1.1km kutokea barabara kuu ya rami.
Majengo ya Shule hii bado yanajengwa, endapo ukiamua kuyanunua ikiwa kwenye hatua hii kama yanavyo onekana kwenye picha, basi bei yake itakuwa ni Tsh 156millions na bado bei inapungua pia.
Lakini majengo haya yakimalizika na kupigwa bati juu, Bei yake itakuwa ni Tsh. 200millions, maongezi yapo kwa mteja ambaye yuko tayari kununua (punguzo la bei bado liko pale pale).
Tuwasiliane sasa kupitia namba ya simu ifuatayo hapo mbele (Tigo) 0659 91 9292


































