HII SI YAKUKOSA KABISA, NYUMBA 3 NA VIWANJA ZAIDI YA 65 VINAUZWA, KUFAHAMU ZAIDI BOFYA HAPA

Ukurasa huu umebeba matangazo ( 7 ) karibu na endelea kuzipitia habari hizo saba za leo.

1. Ndugu mteja, Viwanja vifuatavyo vinapatikana maeneo ya Vikindu sehemu moja inayoitwa Ngunguti, viko umbali wa 1.5 km kutoka barabara kuu ya rami.

Ukubwa wa viwanja pamoja na bei zake ni kama ifuatavyo hapo chini.

1. Futi 50 kwa 40 bei yake ni 3millions
2. Mita 30 kwa 100 bei yake ni 40millions
3. Mita 50 kwa 40 bei yake ni 15millions
KUMBUKA: kila kiwanja bei inapungua.
Picha zaidi juu ya viwanja hivi
            {{BONYEZA HAPA }}


2. Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr.

Nyumba hii inavyumba 3 na kila chumba kina choo chake ndani, ina seating room1, Dining room1, jiko1, pamoja na store 1.

Inauzwa Tsh. 46millions ikiwa imekamilika, yaani itakuwa ina Fensi, Umeme, Milango, Madirisha na itakuwa imewekewa sakafu ya chini.

Ila Kama utainunua kama ilivyo kwa sasa basi Bei yake itakuwa ni Tsh 28million tu.
Kuona sehemu ilipojengwa
{{BONYEZA HAPA}} na kutazama picha zaidi za nyumba hii tafadhali {{BONYEZA HAPA}}


3. Ndugu mteja, Nyumba hii ipo karibu kabisa na nyumba uliyotangulia kuiona hapo juu, zote zipo eneo moja zimeachana umbali wa hatua 45 pekee.

Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia.

Inauzwa kwa Tsh 76millions ikiwa imekamilika, ila ukiwa unaitaka kuinunua kama ilivyo kwa sasa bei yake itakuwa ni 56millions. Kuona sehemu ilipojengwa {{BONYEZA HAPA}} na kutazama picha zaidi za nyumba hii tafadhali {{BONYEZA HAPA}}


4. Ndugu mteja, Nyumba hii ya tatu ina jumla ya vyumba 4, jiko 1, choo cha public 1 pamoja na frems 2 za maduka kwa upande wa mbele.

Nyumba hii ipo Chamazi Saku Iruru, inauzwa kwa Tsh 60millions ikiwa imekamilika, na kama utainunua ikiwa kama ilivyo kwa sasa basi bei yake itakuwa ni 46millions. kutazama picha zaidi za nyumba hii {{BONYEZA HAPA}}  


5. Ndugu mteja,Viwanja vifuatavyo hapo chini vipo maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara, vipo jirani kabisa na nyumba ya kwanza pamoja na nyumba ya pili.

Viwanja hivi ni zaidi ya 60, ukubwa wa viwanja hivi pamoja na bei zake ni kama ifuatavyo hapo chini;

1. Futi 43 kwa futi 56 ni Tsh. 7.5millions
2. Futi 43 kwa ft 112 ni Tsh.14.5millions
3. Futi 43 kwa futi 75 ni Tsh 10millions
4. Futi 43 kwa futi 38 ni Tsh 5.5millions
Picha zaidi {{ BONYEZA HAPA }} wote mnakaribishwa sana kuja kuona au kununua.


6. Pia kuna maeneo mawili pale Ikwete Vikindu kwa mbele kidogo yenye ukubwa wa hekari 2 na hekari 3, eneo la hekari 2 linauzwa kwa Tsh.182millions,  na eneo la hekari 3 linauzwa kwa Tsh.352million, maeneo yote haya yamepimwa na nyaraka zote zipo.

KUMBUKA: Bei zote zinapungua kwa kila kitu ulichokiona kwenye ukurasa huu wa matangazo. Kwa maoni/maswali/ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top