Kiongozi Mkuu wa ACT Zitto Kabwe amesema kuwa Hatishiki na vitisho vinavyotolewa na Jeshi la Polisi nakwamba amekusudia kufanya kongamano la kujadili bajeti kesho Makao Makuu ya Chama hicho.
Amelitaka jeshi la Polisi kuacha kumvizia na badala yake limkamate kwa kufuata Sheria.
Post a Comment