Nchi ya Kenya yasherekea siku ya Madaraka Yake, zaidi bofya hapa

Leo tarehe 1 june 2016 nchi ya Kenya inasherehekea siku ya Madaraka (MADARAKA DAY) ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 53 ambapo Kenya kwa mara ya kwanza ilipata nafasi ya kujiongoza yenyewe kabla ya kupata uhuru wake kamili  12 Decemba 1963, Ambapo Jomo Kenyatta akawa Waziri mkuu wa kwanza wa taifa hilo.

Rais Uhuru kenyata anawaongoza wakenya wote kuadhimisha siku hii muhimu kwao huko Nakuru Kenya,huku wapinzani wakiadhimisha siku hiyo katika viwanja vya uhuru Nairobi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top