Ningependa kukufahamu kiundani zaidi kama hutojari

Huyu ni msamii wa kike ambaye ni maarufu sana hapa Bongo nchini Tanzania.

Je kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo yandani ya nchi yako unaweza kunitajia jina lake anaitwa nani, na anafanya kazi zake za kiusanii kwenye sekta hipi ya sanaa hapa bongo??

Sio siri mimi mwenyewe waga nampenda mdanii huyu pamoja na kazi zake anazozifanya kila siku iendayo kwa Mungu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top