VIWANJA VINAUZWA MAENEO YA NGUNGUTI VIKINDU, BONYEZA HAPA KUJUA BEI ZAKE

Ndugu mteja, Viwanja vifuatavyo vinapatikana maeneo ya Vikindu sehemu moja inayoitwa Ngunguti, viko umbali wa 1.5 km kutoka barabara kuu ya rami. 
Ukubwa wa viwanja pamoja na bei zake ni kama ifuatavyo hapo chini. 

1. Futi 50 kwa 40 bei yake ni 3millions
2. Mita 30 kwa 100 bei yake ni 40millions
3. Mita 50 kwa 40 bei yake ni 15millions

KUMBUKA: kila kiwanja bei inapungua.
Ndugu mteja, wai ujipatie kiwanja mapema maana vimebaki viwanja vichache.
Kwa maoni/maswali/ushauri tupigie simu kupitia Tigo: 0659 91 9292

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top