KAMA UKUIPATA ILE STORY YA NG'OMBE ALIYEKUNYWA POMBE BASI BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Nchini Kenya katika kaunti ya Bugoma, ng’ombe mmoja alivamia nyumba ya mkazi mmoja ambaye kazi yake ni kuuza ulabu (Pombe) na kuzifakamia lita zinazokadiriwa kuwa 40.

Taarifa za mashuhuda zinadai kuwa, baada ya ‘moo’ huyo kupiga mtungi huo alilewa Chakali mpaka akalala siku nne.

Ng’ombe huyo alipiga pombe aina ya Busara. Kwa habari mpya zaidi  {{HAPA}} au waweza kutembelea TazamaLine kwa kubofya kwenye jina lililopo mbele hapo=>>  {{Tazamaline}}

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top