HALI BADO NI TETE MASHARIKI YA KATI, BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Hali bado tete Mashariki ya Kati hususan Syria ambapo watu 83 wameuawa na wengine takriban 200 wamejeruhi katika milipuko ya mabomu mawili ya kujitoa muhanga iliyotokea kwenye wilaya ya Sayeda Zeinab jijini Damascus.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top