Yaani kama bado ujanunua pikipiki ni bora ukawekeze pesa iyo kwenye kilimo maana kwa sasa pikipiki hapa mjini sio kama zamani.
Hao watu unaowaona wakiwa wamesimama nibaada ya kumkimbiza mwendesha bodaboda hapa eneo la Kamata karibu na Nakumatt Supermarket akitokea eneo la darajani.
Katika purugushani za hapa na pale mwendesha bodaboda alijikuta akimsukuma muuza matunda na kuyadondosha yote chini na ugomvi ukaanzia hapo.
Post a Comment