Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake dhidi ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited(IPTL)
Sasa TANESCO imetakiwa kuilipa benki ya Standard Chartered Bank-Hong Kong (SCB-HK) dola za Marekani milioni 148.4 (zaidi ya Sh. bilioni 320).
Post a Comment