Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga mkoani Tanga anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro baada ya kujifanya usalama wa Taifa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkinga mkoani Tanga anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro baada ya kujifanya usalama wa Taifa naku mtishia kwa Bastola askari wa usalama barabarani wakati wakielekea kituo kidogo cha polisi kingoluwira,


 alikotaka apelekwe kuzungumza na mkuu wa kituo baada ya kukamatwa akiwa amezidisha Mwendo kasi (SPEED) barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top