MHE. MBOWE AKANA KUDAIWA KIASI CHOCHOTE NA NHC, BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Freeman Mbowe akana kudaiwa kiasi chochote na NHC asema katika jengo hilo yeye si mpangaji bali ni mmiliki mwenza wa NHC.

Amesema anamiliki jengo hilo kwa asilimia 75 tangu mwaka 1997 na kinachofanywa na shirika hilo la umma kinasimamiwa na Viongozi wa Dola kwa kuwa yeye ni Mpinzani.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top