Bado hali si shwari kwa wafanya biashara wa jijini Mwanza, kisa iki hapa

Vurumai imezuka stendi ya Mwanza baada ya wafanyabiashara kudai kupandishiwa kodi yao kutoka 20,000 hadi 200,000 kisha kufungiwa maduka yao walipogoma kulipa.

Maduka 164 kati ya 213 yaliyopo katika stendi hiyo, mkurugenzi wa halmashauri ya Ilemela amedai wakiendelea kuchelewa kulipa watakata makufuli yao na kutoa bidhaa zao nje na kuweka wapangaji wengine.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top