Hii ni picha ya siku ambapo picha yetu inamuonesha Mbuzi akiwa anatazama bunge kupitia kwenye Television (TV), sijui alikuwa anaelewa kile anachokiangalia au ndio zarau???.
Nadhani kila mtu waga anaweza kufanya jambo kwa sababu zake binafsi, nawewe naomba utuachie majibu yako hapo chini utwambie mbuzi huyu unamtafsiri vipi?
Post a Comment