Huu ndio msimamo wa viongozi wa Chadema kanda ya Pwani, bofya hapa

Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani, wamewapiga marufuku mameya wa chama hicho kuhudhuria mikutano ya kitaifa inayowahusisha viongozi wa juu wa Serikali ndani ya kanda hiyo.

wakidai mara kadhaa mameya wao wamedhalilishwa katika mikutano hiyo. Unadhani wanachokifanya ni sahihi? NDIYO / HAPNA tupe jibu lako hapa chini.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Desgned By MTM Mikoa Yetu Published.. Blogger Templates
Back To Top